Juu na chini shoga zake Sara wakisaidia kupendezesha ukumbi
KC Jr nae hakua mbali kumsaidia mama yake kuupendezesha Ukumbi
Juu na chini ni jinsi gani ukumbi unavyomeremeta baada ya kazi nzuri iliyofanywa na wapambe wa karibu wa Sara
Hapa Latifa akisaidia kuweka Champagne meza za wageni waalikwa
Kidevu akisaidiana na Dj kurekebisha mitambo
No comments:
Post a Comment