ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 20, 2011

Siku Rostom Aziz alipojivua Gamba




Siku ilianza kama mzaha
Siku ikaendelea kwa kutangaza kujivua Gamba
Huku wengene wakianguka kilio
Nje nako chingazi wamekamata mabango ambayo,ukiyachunguza utagundua yameandikwa na mtu mmoja na siajabu hata Rostom mwenyewe hawamjui.
JE UKIANGALIA HIZI PICHA MDAU UNAELEWA NINI AU UNAPATA PICHA GANI!!! TOA MAONI YAKO.

No comments: