ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 17, 2011

WADAU WALAMBA NONDOZZ KATIKA CHUO CHA ASHWORTH COLLEGE - ATLANTA USA

 Mdau Elias Kitambi akipongezwa na Vice President of Education, Dr. Leslie Gargioulo.
Mdau Elias akipongezwa na Director of Education, John Riser baada ya kula nondos.
Mdau Elias akiwa na mdau mwenzake kutoka Tanzania wakiwa na furaha baada ya kupata nondo zao (BS of computer information management)
Mdau akiwa na my wife to be wake na mdau mwingine wenye nyuso za furaha
Wahitimu katika picha ya pamoja wakiwa wenye furaha baada ya kukabidhiwa nondozz.
 

No comments: