ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 18, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Mbunge wa Ukonga, Eugen Mwaiposa kwenye jengo la utawala la Bunge la Tanzania mjini Dodoma. Katikati ni Mbunge wa Viti Maalumu, Al-Shaymaa Kwegyir.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments: