Advertisements

Friday, August 5, 2011

THE BEAUTIFUL WEDDING OF EDWARD & PRISCILLA...!!

Edward akimvisha Pete mkewe Prscilla
Priscilla akimvisha pete mumewe Edward
Edward akisign cheti huku mkewe akiangalia kwa makini
Priscilla akisign cheti chake
Maharusi wakikabidhiwa vyeti vyao vya ndoa
Edward akiwa katika pose na mkewe Priscilla
Mr & Mrs Malume katika pose
Bibi harusi katika picha ya pamoja na mama mkwe wake
Edward akiwa katika pose na mama yake
Ally Muhdin katika Ukodak moment na maharusi
Jestina akiwa katika pose na maharusi
Familia ya bwana harusi katika picha ya pamoja y amaharusi
Maharusi katika picha ya pamoja na marafiki zao
(Picha kwa hisani ya Jestina George Blog)

No comments: