ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 5, 2011

BEI YA FUTARI JUU SOKONI ZANZIBAR.


WANANCHI wakipata  mahitaji ya  futari katika soko la Marikiti Darajani ndizi moja ya mkono wa tembo Sokoni hapo inauzwa shillingi 4000/=. 
WAKINAMAMA Wafanyabiashara katika soko la Mwanakwerekwe wakipanga viazi Sokoni hapo fungu moja shillingi 2000/=(picha kwa hisani ya Othman Maulid

No comments: