ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 2, 2011

Friday Night Freestyle Special Season 1{URBAN PULSE}

URBAN PULSE CREATIVE ikishirikiana na True Talk Records Company inapenda kuwaletea program mpya ya tv inayoitwa Friday Night Freestyle special. Hii ni Reality Programme yenye mchanganyiko wa ucheshi, ubunifu wa kushika Mic mtaani mbele ya kamera na kuonesha vipaji kutoka kwa wasanii waliopo hapa UK. Programme hii itarushwa kwenye TV Hapa UK na baadhi ya Nchi jirani za Ulaya. Vilevile  kutakuwepo na zawadi mbalimbali kwa washindi  na recording deal mwishoni  mwa series.
 
Asanteni
 


No comments: