WANATAKIWA WATOTO WA KUIMBA WIMBO WA TANZANIA,TANZANIA,NAKUPENDA SIKU YA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU
WAZAZI WANAOPENDA WATOTO WAO WASHIRIKI KWENYE WIMBO HUU
TAFADHALI WASILIANA NA MERCY LIGATE,240 461 9477
KWA AJILI YA MAZOEZI
ASANTE
3 comments:
Anonymous
said...
Kwa wazee wenye watoto ambao wako nje ya Dc, mna utaratibu gani? Hao wakuu wa mikoa wangewashirikisha watoto walio nje ya Dc nao wafurahie sikukuu, kisha kama yupo ambae atapata nafasi ya kwenda na mwanawe Dc siku ya sherehe ni vema.

Miaka 50 ya uhuru ni vema kushiriki kwa pamoja
Mdau - North Carolina
unachekesha kweli unauliza jibu watoto wa wa kuu wa mikoa ndiyo watakao imba huo ubinasfi tunao mpaka huku makubwa haya tumepandanao pipa
hivi kuna wakuu wa mikoa hapa au mnajipacika vijicheo to ili mjulikane mpo hapa mjini na kujititia tia tu
Post a Comment