ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 17, 2011

SIMBA IKIKABIDHIWA NGAO YA JAMII BAADA YA USHINDI WA 2-0 ZIDI YA YANGA

Ni vifijo na nderemo kutoka kwa mashabiki wa Simba
Golikipa wa Simba Juma Kaseja akipokea Ngao ya Jamii kutoka makamu wa Rais wa TFF Athuman Nyamlani
Ngao hiyo ikifunguliwa kutoka kwenye boksi lake
Juma Kaseja akikabidhiwa Ngao ya Jamii

1 comment:

Anonymous said...

what the hel is ngawo ya jamii