MISA YA KUMUAGA JUMAMOSI AUG 20,2011
Tujumuike kwenye misa ya kumuaga Mama mpenzi,Dada yetu mpendwa,Rafiki yetu mkubwa na Mtanzania mwenzetu,Kidee Bendera Tazanu siku ya Jumamosi Aug 20,2011 saa 7 mchana(1pm),misa itafanyikia
Calvary Lutheran Church,
9545 Georgia Ave.,
Silver Spring, MD 20910
Tafadhali zingatia muda,mwili wa mpendwa wetu unatarajiwa kuondoka Jumatatu Aug 22,2011.
Bwana ametoa,Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe
No comments:
Post a Comment