Thursday, September 1, 2011

Bongo Real kuanza mazoezi rasmi leo Alhamisi Sept 1,2011 Meadowbrook park

Wachezaji waote wa Bongo Real FC mnataarifiwa Mazoezi yanaanza rasmi leo Alhamisi Sept 1,2011 akizungumuza na Vijimambo kwa njia ya simu Kepteni wa Bongo Real,Ally Bambino amesema kua Wiki hii mazoezi yatakuwepo Leo Alhamisi na Kesho Ijumaa na Jumapili ni mechi ya Vijana na Wazee mechi itakayochezewa hapo hapo Meadowbrook Park.

Upatapo taarifa hii mtaarifu mwenzio.

3 comments:

Anonymous said...

je mechi hii itaanza saa ngapi, na je sehemu hii iko friendly kwa watoto. tungependelea kuja tupatapo majibu haya

Anonymous said...

Nisehemu nzuri ya watoto kucheza,mpira ni saa 6pm.

Anonymous said...

Naimani kubwa this time mtafanya vema.