Wachezaji Dedi Luba(shoto) na Mashaka Bilali wachezaji wa Bongo Real wakiwa wamejichanganya na wachezaji wa DC Nyarugusu kwenye mazoezi yaliyofanyika Hyattsville,Maryland,Nchini Marekani
Juu na chini ni DC Nyarugusu wakijinoa kwa ajilia ya mechi na Vitambi FC jumamosi
No comments:
Post a Comment