Mh.Balozii Mwanaidi Maajar (shoto)akiongea na Wanajumuiya ya Watanzania,Durham,North Carolina,Nchini,Marekani siku ya Jumamosi Sept 3,2011,siku ya Gala Dinner iliyoandaliwa na wanajumuiya hiyo,kati ni Nassoro Basalama(Mwenyekiti) akiwa na Mama Geofrey(mwenyekiti wa kina mama) wakifuatilia na kumsikiliza Mh.Balozi.(picha zaidi ya hii Gala Dinner tutaweka baadae leo)
No comments:
Post a Comment