ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 30, 2011

Rais Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mdogo wa Mambo ya Nje wa Finland

  Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha (juu) na baadaye (chini) kufanya mazungumzo  Ikulu Dar es salaam na Bibi Anne Sipilainen Waziri mdogo wa  Mambo ya Nje ya Finland
Picha na John Lukuwi

No comments: