ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 19, 2011

Revival Gospel Conference DMV OCTOBER 2011

Mkutano mkubwa wa Neno la Mungu pamoja na tamasha la Uimbaji wa aina yake  utafanyika hapa DMV kuanzia Jumapili tarehe  2 hadi 9 October 2011 kuanzia saa 11jioni hadi saa 3usiku ( 5pm-9pm).  Wagonjwa na wenye shida mbalimbali za kimwili na Kiroho wataombewa.
WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: