ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 14, 2011

UJIO MD,DC NA VA

Kutakuwa na ujio babu kubwa wa waimbaji mahiri na nyota wa muziki wa Injili toka Tanzania bi christina shusho ,bi upendo nkone pamoja na upendo kirahiyo wakifuatana na muhubiri wa kimataifa mama Rev Grace mbise kuanzia tarehe 2-9/10/2011 katika kanisa la The way of the cross gospel ministries  lililoko campus Dr college park MD usikose baraka hizo kilasiku saa 6:00pm.lete wagonjwa na wenye shida mbali mbali wataombewa wote mnakaribishwa.

No comments: