Tuesday, September 6, 2011

Walimu wa shule za umaa wanaza mgomo Kenya

Wanafunzi wa Kenya wamekusanyika katika shule ya msingi ya Kongoni mjini Nairobi, Kenya, baada ya shule kufunguliwa kote nchini, Jan. 14, 2008
Walimu wa shule za msingi na upili wamenaza mgomo wa kitaifa kudai kuajiriwa kwa walimu zaidi kukabiliana na muongezeko mkubwa wa wanafunzi.
Kwa habari zaidi Bofya Hapa

No comments: