ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 6, 2011

CHRISTINA SHUSHO,UPENDO NKONE NA UPENDO KILAHIRO WATIA KIWEWE NA NYIMBO ZA INJILI

Waimbaji wa nyimbo za Injili waliokuja mahususi kwenye mkutano unaoendela sasa wa neno la Mungu unaofanyikia College Park,kutoka shoto Christina Shusho,Upendo Nkone na Upendo Kilahiro,wakifutilia ibada
Mchungaji John Mbatta
shoto ni Muchungaji Kadyolo akifungua mkutano kwa Sala kulia ni Mchungaji John Mbatta
Bruno Mazali akifuatilia Ibada
Kulia ni Christina Shusho na waumini wengine wakifuatilia ibada
Kushoto ni Upendo Kilahiro akiwa na waumini wengine wakifuatilia Ibada
Kulia ni Mke wa mchungaji Frednand Shideko akiwa na waumini wengine wakifuatilia ibada
Juu na chini ni waumini wakifuatilia Ibada
Samwel Malonja mpiga kinanda maarufu wa nyimbo za Injili wa kanisa hilo
Kikundi cha kwaya cha kanisa hilo kikitumbuiza kwa ustadi nyimbo za Injili

No comments: