Mzee umenukumbusha mbali sana ; Picha kwa Maua, Kofia, Mkoba na nk. Nakumbuka kule kwetu msasani BANACHILA, mwenye studio alikuwa akitoa mpaka Suti na Tai ukienda kupiga picha.
Nakumbuka siku za sikukuu watu walikuwa wanaongozana kuelekea studios kwa Picha. Kweli Tumetokambali; Now, facebook, Iphone, Google, bluetooth and blogs.
Mzee umenukumbusha mbali sana ; Picha kwa Maua, Kofia, Mkoba na nk. Nakumbuka kule kwetu msasani BANACHILA, mwenye studio alikuwa akitoa mpaka Suti na Tai ukienda kupiga picha.
ReplyDeleteNakumbuka siku za sikukuu watu walikuwa wanaongozana kuelekea studios kwa Picha. Kweli Tumetokambali;
Now, facebook, Iphone, Google, bluetooth and blogs.