Thursday, October 27, 2011

NNAUYE,MAPUNDA WATINGA UBALOZI WETU,WASHINGTON,DC

 Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani uliopo Washington,DC
 Katibu Masaidizi Mkuu,Itikadi na Uenezi,Sixtus Mapunda nae akitia Saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani uliopo Washington,DC.
 Katibu wa NEC ya CCM,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye(kati) pamoja na Katibu Msaidizi Mkuu,Itikadi na Uenezi,Sixtus Mapunda(kulia) wakimsikiliza Afisa Ubalozi Suleiman Saleh,alipokua akiongea jambo walipofika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani uliopo Washington,DC
 Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mh.Mwanaidi Sinare Maajar,akisalimiana na Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye wengine kulia ni Afisa Ubalozi Suleiman Saleh na Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi,Sixtus Mapunda.
 Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mh.Mwanaidi Sinare Maajar,akisalimiana na Katibu,akisalimiana na Katibu Masidizi Mkuu,Itikadi na Uenzi,Sixtus Mapunda,wengine ni Afisa Ubalozi Suleiman Saleh na Katibu wa NEC wa CCM,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye
 Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mh.Mwanaidi Sinare Maajar akiongea jambo na Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye wakiwa pamoja na Katibu Msaidizi Mkuu Sixtus Mapunda(hawapo pichani) anaechukua notisi ni Afisa Ubalozi,Suleiman Saleh
 Kutoka shoto ni Katibu Msaidizi Mkuu,Itikadi na Uenezi,Sixtus Mapunda,Katibu wa NEC wa CCM,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye,Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mh.Mwanaidi Sinare Maajar na Afisa Ubalozi,Suleiman Saleh.
 Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye akiongea Jambo huku Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akimsikiliza.
 Katibu wa NEC wa CCM,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye(kulia) akisalimiana na Afisa Ubalozi kitengo cha Uhamiaji,Abbas Missana.
 Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi,Sixtus Mapunda nae akisalimiana na Afisa Ubalozi kitengo cha Uhamiaji,Abbas Missana.
 Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye akisalimiana na Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mama Munanka.
Kwa Picha Zaidi Bofya Read More

 Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye akisalimiana na Afisa wa Ubalozi,Edward Masanja.
 Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye akisalimiana na Afisa Ubalozi Agnes Lusinde
 Katibu Msaidizi Mkuu,Sixtus Mapunda akisalimiana na Afisa Ubalozi,Agnes Lusinde
 Kutoka kulia nia Afisa Ubalozi Suleiman Saleh,Afisa Ubalozi Asia Dachi,Afisa Ubalozi,Edward Masanja na Naibu Balozi wa Tanzania,Nchini Marekani na Mexico,Mama Munanka.
 Juu na chini ni Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye(shoto)wakiwa nje ya Mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani pamoja na Katibu Msaidizi Mkuu(kati) wakiwa pamoja na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh ambae alikua nawasindikiza wageni 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake