Thursday, October 27, 2011

FLASH BACK

Unakumbuka Enzi hizi watu walikua wakipiga picha Studio na huo mkoba sio wa kwake ni manjonjo ya kupigia picha ambayo yapo hapo Studio.

1 comment:

  1. Mzee umenukumbusha mbali sana ; Picha kwa Maua, Kofia, Mkoba na nk. Nakumbuka kule kwetu msasani BANACHILA, mwenye studio alikuwa akitoa mpaka Suti na Tai ukienda kupiga picha.

    Nakumbuka siku za sikukuu watu walikuwa wanaongozana kuelekea studios kwa Picha. Kweli Tumetokambali;
    Now, facebook, Iphone, Google, bluetooth and blogs.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake