ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 7, 2011

HAFLA YA INVEST TO AFRICA YAFANA,WASHINGTON,DC


Kushoto ni Balozi  wa Africa Union Nchini Marekani,Amina Salum Ali akiwa na mwanae kwenye hafla hiyo ya INVEST TO AFRICA iliyofanyika Marriott Wardman Pak Hotel,Washington,DC Alhamisi Oct 6,2011
MC kwenye mkutano huo,Julia Wilson
Stephen Heyes akiongea jambo kwenye Hafla hiyo
Kulia ni Kwame akiongea jambo kwenye ghalla hiyo huku MC Julia Wilson akiandika jambo.
Kulia ni Balozi wa Congo Nchini Marekani nae alipata wasaa wakuchangia jambo kwenye Hafla hiyo
Kushoto ni Van Rex Gallard ambae ni Vice President wa kampuni ya Boeing Commercial Airlines pamoja na mfanyabiashara kutoka Nigeria Bw.,Arumeni Johnson ambae amenunua ndege mbili aina ya Boeing 747,hapa wakitia saini ya makabidhiano ya ndege hizo kwenye Hafla hiyo ya INVEST TO AFRICA,
Van Rex Gallard(shoto)akimkabidhi zawadi Mfanyabisahara Arumeni Johnson.
Evastus Mwencha,makamu mwenyekiti wa African Union akiongea kwenye Hafla hiyo ya INVEST TO AFRICA
Naibu Waziri wa Mashauri ya Nchi za Kigeni,Kenya Mh.Richard Onyonka nae alikua ni mmoja ya wageni waliokuwepo kwenye Hafla hiyo.
shoto ni Dkt Hamza Mwamoyo wa VOA akiongea jambo na Bw. Jaha.
Kwa picha zaidi za Hafla Hii ya INVEST TO AFRICA Bofya Read More






No comments: