
Kijana Musa Tesha aliyemwagiwa tindikali wakati wa kipindi cha kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga mkoani Tabora akiwasimulia waheshimiwa katibu mkuu wa UVCCM,Martin Shingela(shoto) na Mbunge wa viti maalum kupitia UVCCM mkoani Arusha,Catherine Magige(kulia) jinsi tukio halisi lilivyotokea(maelezo na picha kwa hisani ya Michuzi)
No comments:
Post a Comment