Maestro King Kiki akiingia kanisani College Park hapa akisalimiana na mwimbaji wa nyimbo za Injili,Upendo Nkone wengine waliokaa kushoto ni Christina Shusho kulia ni Rev Grace Mbise na aliyesimaa ni Upendo Kialahiro
Maestro King Kiki akimsaidia Upendo Nkone kuimba nyimbo za Injili
Mwimbaji wa nyimbo za Injili akimpigia makofi Maestro King Kiki wakati akiimba moja ya wimbo wake
No comments:
Post a Comment