Kutoka shoto ni Upendo Kilahiro,Upendo Nkone na Christina Shusho walipokua wanafanya mahojiano na Mubelwa Bandio wa Changamoto Yetu Blog kuzungumzia ujio wao Marekani na tofauti waionao ya uimbaji wa nyimbo za Injili wanapokua nyumbani na wanapokua nje ya
Mubelwa Bandio wa Changamoto yako Blog akifanya mahojiano na waimbaji wa Injili waliokuja mahususi kwenye mkutano mkubwa wa neno la Mungu utakao malizika kesho Jumapili Oct 9,2011
Christina Shusho(kulia) akiongea jambo na waliokaa ni Upendo Nkone(kati) wakiwa na Upendo Kilahiro
1 comment:
Thanks Kaka
Bless
Post a Comment