
Upendo Kilahiro akipagawisha kwa nyimbo za Injili jana Jumapili Oct 9,2011 siku ya mwisho ya mkutano huu kwa wakazi wa Metro Area na Vitongoji vyake

Christina Shusho akiimba wimbo wa Injili uliowapagawisha watu waliofurika hapo kanisani

Upendo Nkone(shoto) akipata Ukodak moment na mmoja ya mashabiki wa nyimbo zake za Injili,Baraka Daudi

JJ Sisters kutoka Virginia(shoto) wakiwa na Mstahiki Meya wa MD,Emma

Juu na chini ni umati wa watu waliofika kanisani hapo wakishuhudia uimbaji stadi wa nyimbo za Injili



Pastor Steve Kamau kutoka Delaware ambako utafanyika mkutano mwingiine wa neno la Mungu na uimbaji wa nyimbo za Injili kutoka kwa Christina Shusho,Upendo Nkone na Upendo Kilahiro siku ya Jumamosi na Juamapili Oct 15-16,2011

Kushoto ni Rev.Hyacinti Spence akiwa na Euwen Spence

kushoto ni Mchungaji Printze Ngosso akiwa na Mchungaji Kadyolo

watu kutoka sehemu mbali mbali walikuwepo kwenye mkutano huo wa Neno la Mungu

Kushoto ni Rose Wasira akiwa na Lilian Samiti

Kushoto ni Vida Katamba akiwa na mmoja ya watu waliofika kwenye mkutano huo wa neno la Mungu

Kushoto ni Heriet Tarazo akiwa na Lilian Sembua toka North Carolina.
Kwa picha zaidi Bofya Read More













































2 comments:
woow safi sana,,, basi mtukumbuke na sisi columbus ohio, tafadhali jamani,,,, tutafurahi sana,, fanyeni mpango huo basi wapendwa, msitunyime baraka
What an amazing church. I didn't know there was an all swahili church in America with so much to offer. I am hooked.
Post a Comment