Ndugu zetu Omar Haji wa Philadelphia na Mbaruk Shariff wa Delaware wanatuarifu kisomo cha hitma kitakachosomwa katika msikiti wa philadelphia siku ya jumamosi October 8,2011 baada ya sala ya dhuhur
anuani ni
4500 Walnut Street,
Philadelphia.PA19103.
kila atakaepata ujumbe huu amuarifu mwengine.
No comments:
Post a Comment