Ujenzi wa freedom tower zamani WTC, New York City.
Ujenzi wa sehemu hii unaendelea vizuri na kama kawaida watu hawaishi kupita na kujichukulia picha za kumbukumbu huku ujenzi wa Freedom Tower ukiendelea. Jengo kama linavyoonekana. Picha kwa hisani ya Ny Ebra wa NYC
No comments:
Post a Comment