ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 13, 2011

WAZIRI MKUU PINDA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na masuala ya uwezeshaji la Empower Tanzania, Carlene Embreb (kulia) huku Balozi wa Tanzania nchini Merakani, Mh.Mwanaidi Maajar (kushoto) akiangalia, kwenye mkutano wa kimataifa wa IOWA-Tanzania nchini Marekani October 11,2011

No comments: