Bi Neema Sita (wa pili kutoka kushoto), mama mzazi wa kijana aliyepingwa risasi njia panda ya Uyole akiendesha pikipiki katika vurugu zilizotokea mwishoni mwa juma jijini Mbeya marehemu Kelvin Mwalingo Mpangala mwenye umri wa miaka 24, akiwa na Mwenyekiti wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jiji Mbeya Bwana Elia Jerema(Osama) akimfariji mama huyo.
Marehemu Kelvin Mwalingo Mpangala mwenye umri wa miaka 24, ambaye alipingwa risasi njia panda ya Uyole akiendesha pikipiki katika vurugu zilizotokea mwishoni mwa juma jijini Mbeya, ndipo aliokotwa na Bwana Asajile Lisyele ambaye ni Mwenyekiti wa Bodaboda eneo la Uyole na kukimbizwa katika Hospitali ya rufaa.
Jeneza lililohifadhi mwili wa marehemu Kelvin Mwalingo Mpangala mwenye umri wa miaka 24, ambaye alipingwa risasi njia panda ya Uyole akiendesha pikipiki katika vurugu zilizotokea mwishoni mwa juma jijini Mbeya,
Waombolezaji waliojumuika na Mama wa marehemu Bi Neema Sita katika mazishi ya marehemu Kelvin Mwalingo Mpangala ambaye alipingwa risasi njia panda ya Uyole akiendesha pikipiki katika vurugu zilizotokea mwishoni mwa juma jijini Mbeya.
(picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog)
No comments:
Post a Comment