
Mpendwa Ndugu yangu Mtanzania ,Mungu ni mkubwa ametufanya tufahamiane huku ugenini na akatupatia moyo wa kuombeana. Nakushukuru kwa kuwa maishani mwangu. Wakati huu wa kuadhimisha Thanksgiving hapa Marekani nakuombea kwa namna ya Pekee. Ndo namna ya kukushukuru kwa wema wako kwangu na kumshukuru Mungu Pia. Ujaliwe kila Baraka na Neema na kipindi tutakachoanza Jumapili cha Majilio kikuongezee neema tele.Ubarikiwe SanaFr. Shao
|
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake