Saturday, November 12, 2011

Kikao kinaendelea kati ya Serikali na wamachinga Mbeya

Kikao Kimeisha
Ulinzi waimalishwa zaidi Wakati wa Mkutano

Mkuu wa wilaya akiwa amekaa baada ya wananchi kukataa kumsikiliza
Muheshimiwa Joseph Mbilinyi akihutubia 
Mkuu wa Wilaya Kushoto wakiwa na Muheshimiwa Joseph Mbilinyi 
Kikao Kimeanza sasa watu ni wengi sana Mh. Joseph Mbilinyi anahutubia sasa..
Wanainchi wakiwapokea viongozi kwa Shangwe 
Picha na Stanslaus yupo kwa tukio sasa endelea kufuatilia

Picha kwa hisani ay Mbeya Yetu Blog

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake