Bwana Gabriel Mwasomola mmoja kati ya majeruhi waliopigwa risasi eneo la stendi ya Kabwe, jijini Mbeya kutokana na vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.
Barabara ikiwa imefungwa
Maduka yakiwa yamefungwa katika Stendi ya magari madogo abiria(daladala) Kabwe jijini Mbeya, kutokana na vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.
Nguzo ya bango la Matangazo lililopo eneo la Stendi ya magari ya abiria(daladala), ambapo Tangazo lililokuwa eneo hilo la Airtel lilichomwa moto kufuatia vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.
Baadhi ya wasababishaji wa vurugu nya vurugu wakiendelea na shughuli nzima za ufungaji wa barabara kufuatia vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.
Picha na Mbeya yetu Blog
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake