Wakaazi wa Durham North Carolina na sehemu mbali mbali Nchini Marekani wakipita kutoa heshima zao kwa Mwili wa marehemu Lucky jana Jumatatu November 14,2011
Kulia ni Mume wa Marehemu,Tony akiwa pamoja na Watoto wakiimba wimbo wa siku ya kuzaliwa kwa marehemu Lucky na hiyo mbele ya mtoto wapili toka kushoto ni keki ya siku yakuzaliwa ya marehemu
Wakaazi wa Durham,North Carolina na kutoka sehemu mbali mbali Nchini Marekani wakipita mbele ya mwili wa marehemu Lucky Jumatatu November 14,2011,Marehemu amezikwa leo Jumatano November 15,2011 na picha za mazishi tutawaletea baadae.
No comments:
Post a Comment