Ndugu,
Kwa mujibu wa ratiba, misa ya mazishi itaanza saa sita, leo tarehe 15/11/2011, na kumalizika saa saba. Misa itafanyika katika kanisa la Immaculate Conception Catholic Church, 810 West Chapel Hill St, Durham, 27701. Eneo la mazishi ni Chapel Hill cemetery na mazishi yataanza saa saba na nusu.
Kuhusu chakula cha jioni, wakina mama mliopika mnaombwa kupeleka vyakula ukumbini saa kumi jioni. Anuani ya ukumbi ni 3400 Balfour West, Durham, NC 27713.
Shukrani za dhati,
Nassor Ally,Chairman
UTNC & TCLA
P.O.Box 52531
Durham,NC 27717
Man!....Check It Out Na Hiyo Title,Sio Mizishi Ni Mazishi!
ReplyDeleteThanks Man For Correcting The "Word"
ReplyDelete