ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 15, 2011

MAELEZO ZAIDI KUHUSU MAZISHI YA LUCKY

Ndugu,

Kwa mujibu wa ratiba, misa ya mazishi itaanza saa sita, leo tarehe 15/11/2011, na kumalizika saa saba. Misa itafanyika katika kanisa la Immaculate Conception Catholic Church, 810 West Chapel Hill St, Durham, 27701. Eneo la mazishi ni Chapel Hill cemetery na mazishi yataanza saa saba na nusu.

Kuhusu chakula cha jioni, wakina mama mliopika mnaombwa kupeleka vyakula ukumbini saa kumi jioni. Anuani ya ukumbi ni 3400 Balfour West, Durham, NC 27713.

Shukrani za dhati,

Nassor Ally,Chairman
UTNC & TCLA
P.O.Box 52531
Durham,NC 27717

2 comments:

Anonymous said...

Man!....Check It Out Na Hiyo Title,Sio Mizishi Ni Mazishi!

Anonymous said...

Thanks Man For Correcting The "Word"