Makaburi alikozikwa marehemu
mwili wa marehemu likitolewa kwenye gari kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele
familia ya marehemu ikiwasili kwa ajili ya mazishi ya mpendwa wao
Waombolezaji wakiwa makaburini
Jeneza la Marehemu likipelekwa makaburini kwa ajili ya mazishi
Wakaazi wa Durham,North Carolina,Nchini Marekani wakiwa makaburini kwa ajili ya kumzika mwezao huku wakiimba nyimba za maombolezo.
jeneza la marehemu
Familia ya marehemu wakiwa mbele ya jeneza
mume marehemu Tony akiweka ua.
Kwa picha zaidi na maelezo Bofya Read more
mtoto mkubwa wa marehemu Ezra akiweka ua
mtoto wa pili Imani akiweka ua
binti wa mwisho Genevieve akiweka ua
binti mkubwa Rehema akiweka ua
dada wa marehemu Matilda akiweka ua
dada wa marehemu Ida akiweka ua
mjomba wa marehemu akiweka ua
shemeji wa marehemu Geofrey akiweka ua
shangazi wa marehemu Bibi Rose Nesbit akiweka ua
Rafiki mkubwa wa marehemu Nancy akijiandaa kuweka Ua
Rafiki wa marehemu Nancy akiweka ua
mawifi wakiweka maua
Edna na aunt Esther wakiweka maua
Mama Msisa akiweka ua
Uncle Sichele akiweka ua
Kutoka shoto ni Husein, Saburi na Hamsini wakiwa kwenye maziko
familia wakimzika marehemu
waomboleza ji
waomboleza ji
familia ya marehemu wakipiga picha ya pamoja kwenye kaburi la marehemu
Kutoka shoto ni Saidi, Uncle Sichele na Tony ambae ni mume wa marehemu
Baada ya maziko waomboleza ji walijumuik a pamoja
Dada Matilda akipokea zawadi ya rambi rambi kutoka kwa umoja wa kinamama North Carolina
Tony akipokea rambirambi kutoka kwa umoja wa kinamama North Carolina
Shangazi Bi Rose Nesbit akitoa shukrani
Dada Ida akitoa shukrani
Dada Matilda akitoa shukrani
Mchungaji Migombo akitoa nasaha
Uncle Sichele akitoa nasaha
Aunt Esther akitoa nasaha
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake