DESY ERNEST NA JAGUAR
MSANII MAARUFU TOKA KENYA,JAGUAR WAPILI TOKA KULIA AKIWASILI KWA AJILI YA MAKAMUZI JUMAMOSI KWENYE TAMASHA LA BODA KWA BODA BEACH CONCERT
MSANII MAARUFU TOKA KENYA,JAGUAR WAPILI TOKA SHOTO AKIPATA PICHA YA PAMOJA NA WENYEJI WAKE NJE YA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA JULIUS NYERERE.
MSANII MAARUFU TOKA KENYA,JAGUAR KUSHOTO AKIPATA PICHA YA KUMBUKUMBU NA MMOJA YA MWENYEJI WAKE
MSANII MAARUFU TOKA KENYA,JAGUAR KATI AKIPATA PICHA NA WADAU.
Mwanamuziki mahiri nchini Kenya ajulikanae kwa jina la JAGUAR,awasili nchini Tanzania tayari kwa kuangusha bonge la shoo kwenye tamasha la BODA KWA BODA BEACH CONCERT.
Kuzungumzia na uthibitisho wa ujio wa Mwanamuziki huyo Dar,Meneja wa Masoko wa kampuni ya G5 CLICK COMPANY,Desy Ernest amesema kuwa,Mwanamuziki Jaguar kutoka nchini Kenya anatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha la BODA KWA BODA BEACH CONCERT litalojiri pande za Mbalamwezi Beach,Mikocheni jijini Dar Es Salaam mnamo November 12 (LEO).Akisindikizwa jukwani na wasanii wakibongo wakiwemo Sumalee,GodZilla,Country Boy & Stamina,Young D,Beka na wengineo wengi tu
Desy Ernest amesema kuwa mpaka sasa mambo yanakwenda sawa bin sawia,na kwamba shamra shamra za BODA KWA BODA BEACH CONCERT zitakuwa tofauti na wenye msisimko mkubwa, ambalo ni kubwa katika anga ya burudani ndani ya Tanzania.

mashabiki wake kujitokeza kwa wingi ilikukamilisha mpango mzima wa BODA KWA BODA BEACH CONCERT.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake