Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizindua tawi la CCM la Mtaa wa Pamba House, jijini Dar es Salaam, jana. Licha ya mvua iliyokuwa ikinyesha uzinduzi huo ulijaa shamra shamra nyingi
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizindua tawi jipa ya CCM la Vijana wa Mtaa wa Pamba House, jijini Dar es Salaam, jana
Nape (kushoto) akiungana na wanachama kushangilia baada ya kuzindua tawi la CCM la Mtaa wa Pamba House, jijini Dar es Salaam, jana.
Nape akimkabidhi kadi ya CCM mwanachama wa tawi jipya la CCM la Mtaa wa Pamba House
Wanachama wapya wa tawi hilo wakila kiapo baada ya kupatiwa kadi na Nape
Nape akihutubia huku akinyenyeshewa mvua wakati wa uzinduzi wa tawi hilo
Nape wakihutubia baada ya kufungua tawi la CCM mtaa wa Pamba House jijini Dar es Salaam
Nape akiwa na viongozi wa tawi hilo
Juu na chini ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akimuunga mkono jukwaani msanii Marlow aliyekuwa akitumbuiza katika uzinduzi Shina la Wakereketwa wa CCM mtaa wa Pamba House jijini Dar es Salaam, jana.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (katikati) akisakata kiduku jukwaani na msanii Marlow alipopanda katika jukwaani kumuunga mkono msanii huyo alipotumbiza wakati wa sherehe za uzinduzi wa shina la wakereketwa wa CCM la mtaa wa Pamba House, Dar es Salaam, jana.
Nape akiagwa kwa furaha na wanachama wa tawi hilo baada ya hafla kumalizika
No comments:
Post a Comment