majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi
Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.
Vurugu zikiendelea
Raia wema wakivukishwa barabara eneo la mapambano maeneo ya kabwe |
Moja ya gari lililopasuliwa kioo na baruti |
Wamachinga wakishangilia baada ya kuwazidi polisi nguvu |
Nivurugu tupu maeneo ya soweto jijini mbeya |
Wamachinga wakichochea moto wa matairi katikati ya barabara ya mbeya na tunduma
|
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake