Sunday, November 13, 2011

SHEREHE ZA EID AL HAJJ ZAFANA DMV.

 Mautadhi wakiwa kwenye sherehe za Eid Al Hajj zilizofanyika Rockville,Maryland,Nchini MarekaniJumamosi November 12,2011

Watanzania waishio DC,MD,VA na vitogoji vyake wakijumuika pamoja kusherehekea sikukuu ya Eid Al Hajj iliyofanyika Rockville,Maryland,Nchini Marekani Jumamosi Vovember 12,2011
 Watanzania wa DMV wakiwa kwenye sherehe za Eid Al Hajj zilizofanyikia Rockville,Maryland,Nchini Marekani Jumamosi November 12,2011
 Mayor Kulia akiwa na Jairos Silayo kwenye sherehe ya Eid Al Hajj zilizofanyikia Rockville,Maryland,Nchini Marekani.
 Seif Msabaha ambae wiki hii Jumamosi Nov 19,2011 anaBirthday Bash itakayofanyika Brentwood Restaurant.
 Aunty zetu wakijumuika pamoja kwenye sherehe za Eid Al Hajj zilizofanyikia Rockville,Maryland.
 Mautadhi wakibadilishana mawili matatu kwenye sherehe za Eid Al Hajj zilizofanyikia Rockville,Maryland.
 Watanzania wa DMV waliojumuika pamoja na familia zao Rockville,Maryland.
 Watanzania wakiwa kwenye sherehe za Eid Al Hajj,Rockville,Maryland.
 Watanzania waliojumuika pamoja kwenye sherehe za Eid Al Hajj zilizofanyikia Rockville,Maryland.Nchini Marekani.
 Watanzania wakiwa kwenye sherehe za Eid.Al Hajj
 Mama mwenye nyumba wa Katibu wa TAMCO sheh Yusuf.
 Watanzania na familia zao wakijumuika pamoja kwenye sherehe za Eid zilizofanyikia Rockville,Maryland
 Habiba akiwa na familia kwenye sherehe za Eid Al Hajj(picha zote kwa hisani ya Mayor wa DC,Saleh Mohammed).
Kwa picha zaidi Bofya Read More


No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake