Sunday, November 13, 2011

SIMBA TROPICAL GRILL,CLAYMONT,DELAWARE

 Dj Seif akiwapagawisha Wana-Delaware Jumamosi Usiku November 12,2011 Mjini Claymont,Nchini Marekani,na hii itakua Mara moja kwa mwezi,Dj Luke na Seif kutoka DC wanakua wanakuja Delaware,December 10,watarudi tena kwa ajili ya sherehe za Uhuru na Jamhuri.
 Wadau wakipagawika .
 Wadau wakipata Ukodak wa pamoja kwenye Club hiyo ya Simba Tropical Grill
 Mdau na mama mwenye nyumba wake wakipata Ukodak Moment.
 Wadau wakipata Ukodak Moment
 Wadau wakipata Ukodak ndani ya Simba Tropical Grill
 Ni Ukodak wa kumbukumbu
 hapa wadau wakipozi kwa picha a pamoja.
 Wadau wakichenguka na picha.
 Wadau wakipozi kwa picha.
Wabongo waliokuepo Simba Tropical Grill,wengi wao walitokea Philly,ambao walikuja kumuunga mkono Dj Luke na Seif.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake