Wadau kutoka Ohio na Houston,Texas wakipata picha ya pamoja
Ebra NY akipata Ukodak moment na wakina dada
Wadau waliofika Houston kusherehekea siku ya Thanksgiving wakipata picha ya pamoja
Wadau kutoka DC nao walikuwepo kwenye sherehe hizi za Thanksgiving,Houston.
Houston Sisters na marafiki zao wakipata picha ya pamoja
toka shoto ni Itika Mwakasula,Tarlisha Tallya na Lily Tairo wakipata picha ya pamoja
Juu na chini ni Houston Sisters wakipata ukodak moment.
Juu na chini ni Wadau Houston wakipata picha ya pamoja
Shoto ni Di Issar akipata picha ya pamoja na mdau mwenzake wa Houston
Wadau kutoka Houston na Vitongoji vyake
Kwa picha zaidi Bofya Read more
No comments:
Post a Comment