MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, ambaye alikuwa akitafutwa na jeshi la Polisi Mkoani Arusha, amejisalimisha mwenyewe. Mbowe ameonekana katika kituo cha polisi makao makuu Arusha mapema leo akichukuliwa maelezo na inasemekana huenda akaunganishwa katika kesi inayowakabili viongozi wake waliofikishwa mahakamani jana, Dr. Wilbroad Slaa na Tindu Lisu.
Habari na GPL
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake