Friday, November 11, 2011

ZIARA YA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA CPC CHA CHINA LEO

 MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kimomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho, akimpa zawadi Makamu Mwenyekiti wa CCM Pius Msekwa baada ya mazungumzo ya ujumbe wa Chama hicho na Ujumbe wa CCM katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama. 
 MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kimomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho na Mwenyeji wake Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa CCM baada ya mazungumzo ya ujumbe wake na wa CCM kuwa na mazungumzo katika ukumbi wa sekretarieti, Ofisi Ndogo yab Makao Makuu ya CCM mtaa wa Lumumba Dar es Salaam. Wengine ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape NNauye, Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama na Katibu wa NEC, Uhusiano wa Kimataifa Januari Makamba.
  MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kimomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho, akiweka shada la maua kwenye eneo la Makaburi ya wataalam wa Kichina alipokwenda kuyaona, eneo la Majohe, Gongo la Mboto, Dar es Salaam.
 MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kimomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho, pamoja na ujumbe wake wakitoaheshima, kwenye Makaburi ya wataalam wa Kichina alipokwenda kuyaona eneo la Majohe, Gongo la Mboto, Dar es Salaam.
 MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kimomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho (kushoto), akisoma maelezo kwenye eneo maalum la kumbukumbu lililopo kwenye eneo la Makaburi ya wataalamu wa Kichina, eneo la Majohe Gongolamboto Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na watano ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye.
 UJUMBE wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kimomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho, ukipata maelezo ulipotembelea Kampuni ya Reli ya TAZARA
 Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu, Dar es Salaam leo, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kimomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho. Katikati ni Msekwa.
 Rais Kikwete akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kimomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho, Ikulu Dar es Salaam, leo.
 Rais Kikwete akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kimomunisti cha China (CPC) Liu Yunshan ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Uenezi ya chama hicho, Ikulu Dar es Salaam, leo. Kulia ni Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM
  Msekwa, Wilson Mukama na baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa wakiwa kwenye mazungumzo hayo
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigella akizungumza na waandishi wa habari leo Makao Makuu ya Jumuia hiyo mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Mfaumne Kizigo Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM.(PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake