Friday, November 11, 2011

ZANZIBAR HEROES WAJIFUA NCHINI MISRI

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, wakiwa katika mazoezi, katika Uwanja wa kijiji cha Al Maad Olimpiki Centre, Misri,  ambako timu hiyo imeweka kambi ya wiki mbili kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Chalenji, Wanaoonekana mbele, kutoka kushoto ni  Abdulhalim Humud, Suleiman Kassim na Khamis Mcha 'Viali'. ( Picha kwa Hisani ya ZFA).

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake