Waendesha pikipiki (boda boda) wakiwa katika picha ya pamoja leo wakati wa uzinduzi wa Tigo Rusha Bodaboda.
Muendesha pikipiki (boda boda) akiwa katik auzinduzi wa Tigo Rusha Bodaboda.
Juu na chini ni Waendesha pikipiki (boda boda) wakiwa katika picha ya pamoja leo wakati wa uzinduzi wa Tigo Rusha Bodaboda.
Mwendesha Pikipiki boda boda, John Lembele akimuuzia mda wa maongezi Peter Shebobo wakati wa uzinduzi wa Boda boda tigo rusha leo.(Picha na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment