ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 29, 2011

Brigedi Kamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Kanda ya Mashariki. akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula

Brigedi Kamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Kanda ya Mashariki, Cyril Mhaiki (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula vikavu kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick jijini. (Picha na Fadhili Akida).

No comments: