Wachezaji wa Chelsea wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Drogba ambae mechi hii aliifungia Chelsea bao mbili

Ramires akipachika bao la pili la Chelsea

Ramires anakuambia mpelekee mtoto nyonyo akanyonye

Hiyo,hiyo ni Gooooool Drogba anaipatia Chelsea bao la 3

Hiyo,hiyo ni Gooooool Drogba anaipatia Chelsea bao la 3
No comments:
Post a Comment