ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 21, 2011

HAPPY HOLIDAY

Mayor wa Seattle, Amin Dola na Mama mwenye nyumba wake, sally wanawatakia Watanzania wote wote hapa USA heri ya sikukuu ya Christmas 

6 comments:

Anonymous said...

eh bro dolaone nnaona kuku wamekukubali umenenepa hivyo

Anonymous said...

mzee dola nnaona huko seasttle kumekukubali unalipiza ukoloni nini?salam from boston ma

Anonymous said...

Kaka hongera sana mmependeza wote na wewe happy xmas/new year

Anonymous said...

mayor wote nnameremeta tukumbukane columbus ohio tunakusalam pia all the best & happy holidays too u both

Anonymous said...

BROTHER DOLAONE VIJIMAMBO KWELI VIJIMAMBO.....TUNAWAPONGE SANA KUONA HABARI/PICS ZA JAAMA ZETU,SASA BALOZI DOLA ATAKUA DOLAFIVE AU???MPE SALAM SANA TUNASUBIRI NYIMBO ZAKE ISEE,DETROIT UNAKUJA LINI?PIA PUNGUZA MA BURGER YA JACK IN THE BOX..........LOL

Anonymous said...

ndugu yangu weee utafikiria sio mzaramo wa ukae(bmoyo)unawaka na mama kama nanasi la kiwengwa......sasa brothere luka jee na sisi tuliokua mabalozi wa nyumba kumi tunatumajee salam zetu?maana huyu ni meya mambo yenu makubwa.....nnaomba jibu shukuran